Q; Ajali mbaya ilitokea kati ya mpakawa Ubelgi na Uhispania.Je, walio jeruhiwa walizikwa wapi?
A; Wajeruhiwa hawakukwa.Walienda hospitalini.
Q; Upepo ulikuwa ukivuma kutoka mashariki kuelekea magharibi kutoka mashariki kuelekea
magharibi. Gari moshi linalo tumia umeme,lilikuwa lina safari kwenda Burundi kutoka Malawi.
Moshi ulielekea upande gani?
A; Lilikuwa la umeme,halitoi moshi.
Q; Chura alianguka kwenye shimo la futi thelathini. Yeye anaweza kuruka futi kumi pekee.
Je,ataruka mara ngapi ndipo atoke humo?
A; Hataweza kutoka humo ndani kwa sababu kila,akiruka ataregea ndani tena.
KISWAHILI
- Details
- Written by Edgar for LCM Editorial
QUICK LINKS
LATEST LCM ARTICLES
Most READ articles
Login Form
WHO IS ONLINE
We have 494 guests and no members online
