Q;   Ajali mbaya ilitokea kati ya mpakawa Ubelgi na Uhispania.Je, walio jeruhiwa walizikwa wapi?
A;   Wajeruhiwa hawakukwa.Walienda hospitalini.
Q;  Upepo ulikuwa ukivuma kutoka mashariki kuelekea magharibi kutoka mashariki kuelekea
      magharibi. Gari moshi linalo tumia umeme,lilikuwa lina safari kwenda Burundi kutoka Malawi.
      Moshi ulielekea upande gani?
A;   Lilikuwa la umeme,halitoi moshi.
Q;  Chura alianguka kwenye shimo la futi thelathini. Yeye anaweza kuruka futi kumi pekee.
       Je,ataruka mara ngapi ndipo atoke humo?
A;   Hataweza kutoka humo ndani kwa sababu kila,akiruka ataregea ndani tena.